PowerHub Quad Station

Meza za timu (workstations)

PowerHub Quad Station

Meza moja, watu wanne: umeme ndani, vizuizi vya faragha na droo yenye kufuli kwa kila mtu.

TZS 1,800,000

Au lipa kwa awamu

Lipa kwa miezi
Kianzio leo
TZS 540,000
Kisha kila mwezi
TZS 420,000

Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →

Sifa kuu

  • Soketi za umeme zilizojengwa ndani
  • Miguu imara
  • Nafasi kubwa ya kufanyia kazi
  • Droo binafsi zenye kufuli
Unaweka samani ofisi nzima? Pata bei kamili

Unaweza pia kupenda

Piga simuWhatsApp