
Viti vya ofisi
Black & Orange Ergonomic Office Chair
Kiti cha wavu chenye kiti cha rangi ya chungwa kinachoipa ofisi uhai.
TZS 350,000
Au lipa kwa awamu
- Kianzio leo
- TZS 104,000
- Kisha kila mwezi
- TZS 82,000
Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →
Sifa kuu
- Mchanganyiko wa rangi wenye nguvu
- Magurudumu yanayoteleza kwa urahisi
- Mgongo wa wavu unaopitisha hewa
- Mwonekano wa kisasa
- Tunaleta na kufunga popote Zanzibar.
- Tuulize kuhusu rangi na upatikanaji kabla ya kuagiza.
- Ione dukani kwetu: Magomeni/Kwerekwe, karibu na Flyover, Zanzibar 11011




