
Viti vya ofisi
Full Grey Pro Office Chair
Kiti cha kila siku cha timu: wavu unaopitisha hewa, kijivu laini na starehe siku nzima.
TZS 400,000
Au lipa kwa awamu
- Kianzio leo
- TZS 118,000
- Kisha kila mwezi
- TZS 94,000
Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →
Sifa kuu
- Rangi ya kijivu laini
- Starehe siku nzima
- Mtindo rahisi na maridadi
- Rahisi kuhamisha
- Tunaleta na kufunga popote Zanzibar.
- Tuulize kuhusu rangi na upatikanaji kabla ya kuagiza.
- Ione dukani kwetu: Magomeni/Kwerekwe, karibu na Flyover, Zanzibar 11011




