
Chumba cha kulala
GlowGlam Vanity Set (Dressing Table)
Meza ya kujipamba yenye kioo cha taa za aina tatu na kiti kidogo chenye mto.
TZS 600,000
Au lipa kwa awamu
- Kianzio leo
- TZS 180,000
- Kisha kila mwezi
- TZS 140,000
Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →
Sifa kuu
- Taa zenye mwanga wa aina tatu
- Kioo cha kuvutia
- Kiti kidogo chenye mto
- Nafasi kubwa ya kuhifadhi vipodozi
- Tunaleta na kufunga popote Zanzibar.
- Tuulize kuhusu rangi na upatikanaji kabla ya kuagiza.
- Ione dukani kwetu: Magomeni/Kwerekwe, karibu na Flyover, Zanzibar 11011




