
Mapokezi na kusubiri
L-Shaped Reception Table
Meza ya mapokezi yenye kizuizi na makabati, kitu cha kwanza wateja wako wanachokiona.
TZS 800,000
Au lipa kwa awamu
- Kianzio leo
- TZS 239,000
- Kisha kila mwezi
- TZS 187,000
Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →
Sifa kuu
- Mwonekano wa kitaalamu
- Nafasi kubwa
- Rahisi kufunga
- Malighafi ya kudumu
- Tunaleta na kufunga popote Zanzibar.
- Tuulize kuhusu rangi na upatikanaji kabla ya kuagiza.
- Ione dukani kwetu: Magomeni/Kwerekwe, karibu na Flyover, Zanzibar 11011


