
Mapokezi na kusubiri
Metal + Aluminium Waiting Bench
Benchi la kusubiri la aluminiamu lisiloshika kutu, linafaa hali ya hewa ya pwani.
TZS 475,000
Au lipa kwa awamu
- Kianzio leo
- TZS 142,000
- Kisha kila mwezi
- TZS 111,000
Malipo ya awamu yanahitaji mkataba wa mauzo ya mkopo na mdhamini. Kianzio hakirudishwi. Lipa kwa awamu →
Sifa kuu
- Aluminiamu isiyoshika kutu
- Imara na thabiti
- Muundo maridadi
- Malighafi ya kudumu
- Tunaleta na kufunga popote Zanzibar.
- Tuulize kuhusu rangi na upatikanaji kabla ya kuagiza.
- Ione dukani kwetu: Magomeni/Kwerekwe, karibu na Flyover, Zanzibar 11011


